msaada: jinsi ya kudeploy android app

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,428
3,510
Ninajifunza kutengeneza android app natumiaandroid studio kuna app mojanimekamilisha ila nashindhwa jinsi ya kuifanya ije iwe inmstalled kwenye device za kawaida za android mwenye uelewa tafadhali anisaidie sitaki kutumia virtual device nataka ile .apk iwe installed kwenye device kama vile tunavyodownload playstore.
 
Unachotakiwa kufanya bi ku~generate APk file.

Nenda build > build signed apk > kama huna key utahitaji kutengeneza key, fanya hivyo na hiyo key hakikisha unaitunza vizuri mno, yaani mtu akiipata ana uwezo wa kutengeneza app yake kwa kutumia package name yako na kuifanya yake. Ukimaliza kubuild utaona APK imekua generated kwenye source folder lako la "app".

Usisahau ku~enable ProGuard, nenda gradle settings tafuta "minify" set to true. Hii itazuia watu kupata source code yako na inasaidia sana ku~save size, 10MB zinaweza shuka hadi 3MB.
 
je nikifanya hivyo nikamoa mtu a install itakua na hatua zile za installation kama kukubali condition au zile zinawekwa wapi mkuu.
 
wakuu wale wanaotangaza app zao humu mbona mnakwepa kujibu.
 
je nikifanya hivyo nikamoa mtu a install itakua na hatua zile za installation kama kukubali condition au zile zinawekwa wapi mkuu.

Hatua sio zilezile, ni lazima aruhusu installation from unknown sources kwenye settings, kama hutaki hiyo option huna njia nyingine zaidi ya kuweka app yako kwenye playstore
 
Back
Top Bottom