Msaada Jinsi ya Kudaload Video

mfukoz

Member
Aug 11, 2011
35
4
wanajamii habari zenu binafsi,Wajamii mimi nilikuwa naomba msaada kwa wataalam ni kwamba nihatua zipi muafaka ambazo napaswa kufuata ninapotaka kudaload video ama musiki na je unapodaload nikiasi gani cha unit katika internet kinatumika ni hilo tu nawakilisha.
 
mkuu unapotaka kudownload video ktk net kunanjia mbali mbali waweza kufanya.
Unaenda katika site husika unayotaka kudownload video, unachagua uipendao kisha una click download na browser yako itaanza kudownload punde.
Au waweza kudownload na kuinstall katika pc yako downloader manager yoyote itakayo kurahisishia kudownlodi kitu chochote kwa urahisi zaidi.

labda kukusaidia zaidi (click hapa kudownload Internet download manager) baada ya kudownload install katika pc yako kisha nenda katika site ya video na uchague video upendayo then click play, utakapoanza tu ku play chini yake kushoto utaona kuna tokea kadownload mamanager kameandikwa "download video from this page",click kisha download
unit utakazo liwa inategemea na ukubwa wa kitu ulicho download, kama video ina ukubwa wa mb 7 hizo ndizo zitakazo liwa.
 
mkuu nashukuru nimefanikiwa kwa hatua ulizoelekeza jinsi ya kufanya ila tazizo baada ya download nimeinstall katika pc pindi ninapo play inakataa kuplay so nafikiri kuna any support need ili iwezekuplay so sijui hapo unanisaidiaje mkuu.
 
Una maanisha umefanikwa kuinstall IDM na umefanikiwa kudowanload hizo video ila huwezi kuziplay?
Ok nikweli video nyingine hazikubali kuplay na Windows meadia player na meadia player zingine.
Unatakiwa kudowanload na kuinstall VCL (Click hapa kudownload VLC media player) hapo utaweza kuplay video hizo
 
paulss nimefurahi sana jinsi ulivyomsaidia jamaa asee ila kuna kitu kimoja na mimi ningependa kujua... hivi unafanyaje mpaka unakua na uwezo wa kuweka hiyo note hapo ambayo inatoa link ya moja kwa moja kwenda kwenye site ya kitu mtu anachotaka kudownload au kwenye site husika..? hasa ni steps gani unafanya ningependa kufahamu...!
 
Mkuu rahisi sana unaenda katika site husika ya kitu unachotaka kulink kisha una right click kisha una copy link location, baada ya hapo unarudi katika post yako una paste, baada ya kupaste unaweza ku edit isomeke unavyotaka.
NB kama unataka direct downloading link kama nilivyo fanya unahakikisha katika site unayotaka kulink unacopy link location katika ile sehemu iliyoandikwa download, ambayo uki click ndio unaanza kudownload.
Sijui kama umenipata uzuri
 
asante mpendwa,

nami nimepata kitu hapa, hebu ngoja nitest : click HAPAutaibukia GOOGLE na click PALE utaibukia BBC, na huku utafika kwa shigongo!

let me see if it works!

problem encountered!

Mpendwa Pauss,

mbona nimefanya kama hapo kwenye red ikakubali link lakini nikiclick inaenda HAPA.co.tz badala ya googlr.co.tz kama nilivyokusudia?

msaada tafadhari mpendwa

ubarikiwe

updates

wapendwa,

nimefanikiwa kutatua hili tatizo kwa msaada wa Hossana Tech kama alivyoutoa hapo chini. shukrani sana na Mungu awabariki nyote
 
ukiisha copy link hapo juu kwenye editor yako kuna icon ya dunia, click na u paste link kisha press ok. Katikati ya url tags weka unachotaka kionekane. Mfano huu hapa, replace < with [ and > with ]
<URL='http://google.com'>Go to GoOgLe</URL>
uki replace inakuwa hivi
Go to GoOgLe
 
asante sana mpendwa,

nimeweza!

Mungu akubariki sana uendelee na moyo huo huo

Glory to God!
 
ukiisha copy link hapo juu kwenye editor yako kuna icon ya dunia, click na u paste link kisha press ok. Katikati ya url tags weka unachotaka kionekane. Mfano huu hapa, replace < with [ and > with ]
<URL='http://google.com'>Go to GoOgLe</URL>
uki replace inakuwa hivi
Go to GoOgLe
Ubarikiwe
 
asante mpendwa,

nami nimepata kitu hapa, hebu ngoja nitest : click HAPAutaibukia GOOGLE na click PALE utaibukia BBC, na huku utafika kwa shigongo!

let me see if it works!

problem encountered!

Mpendwa Pauss,

mbona nimefanya kama hapo kwenye red ikakubali link lakini nikiclick inaenda HAPA.co.tz badala ya googlr.co.tz kama nilivyokusudia?

msaada tafadhari mpendwa

ubarikiwe

updates

wapendwa,

nimefanikiwa kutatua hili tatizo kwa msaada wa Hossana Tech kama alivyoutoa hapo chini. shukrani sana na Mungu awabariki nyote
Naona sasa upo fit, hata link zako ziko sawa sasa
 
pia unaweza download softwere ya ARES au FLASHGET au VUZE nazo zaweza kua msaada mkubwa
 
Naona sasa upo fit, hata link zako ziko sawa sasa

ni kweli kabisa mpendwa.

sasa nina confidence katika eneo hilo. shukrani za pekee ziwafikie nyinyi wapendwa kwa msaada wenu.

Mungu awabariki sana

Glory to God!
 
mzee nahukuru kwa maelezo uliyoyatoa kwa ndugu yetu hapo juu,mi naomba hili nisaidi nataka kujua njia zipi ntazitumia kucopy file au notes zilizo kwenye internet,au hata kucopy maelezo yako haya mazuri kweny JF
 
Back
Top Bottom