Msaada: Jinsi ya kuchakachua modem Huawei EC121

hiyo haijafungwa mbona inaingia line yoyote(ya cdma).

Unatakiwa uelewe concept hii tanzania kuna aina 2 za technology ya line gsm na cdma.

Gsm ni mitandao ya voda,tigo,airtel na zantel

Cdma ni mitandao ya zantel(modem),sasatel na ttcl.

So modem za zantel ni cdma hazitakubali gsm ila siku ttcl au sasatel wakitoa line basi zitakubali modem ya zantel
 
Asante sana mkuu, nimekuelewa sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom