Msaada: Jinsi ya kublock no ya simu

Njia rahisi zaid..
download karpesky mobile antivirus. Hiyo ina kila kitu yaan calls & sms filters namaanisha black list na white list.
 
Acha ukofongo wewe! Unampenda lakini u mdhaifu, Kama utaki kuongea Naye you simply dont pick her phone!

wana jf naombeni mnisaidie jinsi ya kublock no ya simu kama sitaki anipate hewani angali no zingine zinanipata
 
Futa namba yake kwny phone registry kama ni BB kama ni mchina akipiga kata!
 
njia rahisi zaid..
download karpesky mobile antivirus. iyo ina kila kitu yaan calls &sms filters namaanisha black list na white list.

Asante, ngoja nifanye hilo zoezi coz nimechange line pia ameipata. then karibu
 
sasa kaspersky for mobile ina promo ya 7days zikisha hzo wanataka keyz so kama una keyz za kaspersky for mobile tusaidiane mm ilinishinda hpo2!
 
sasa kaspersky for mobile ina promo ya 7days zikisha hzo wanataka keyz so kama una keyz za kaspersky for mobile tusaidiane mm ilinishinda hpo2!

Zipo patch nyingi tu ambazo uki install katika simu yako kaspersky inakua for life je swali linakuja simu yako ipo hacked? Au una developer certificate? Maana patch zote ni unsigned
 
divert namba yako kwenye namba hiyohiyo yako-eg no yako ni 0713100100,njo kwenye divert calls then uidivert kwenye namba hiyohiyo-watu wote wakikupigia itabidi warudie hata mara 5 au na zaid ndo wakupate-maana wataambiwa namba unayopiga haipo-ichunguze tena-japokuwa inaweza kuita kwake mara moja tu then akaambiwa hayo maneno-kwako wewe utaona kama amekubip-
mi nishaitumia hiyo njia-inapunguza usumbufu-maana mtu akibipu ujue kwake kapiga na kaambiwa hio namba haipo.
tatizo la hii njia ni kwamba inabid wale watu muhimu ukiona wanakupigia then inaingia as missed call-wewe ndo unatakiwa uwapigie-then utasingiuzia mtandao.
SMS zinakuwa zinafika pasipo tatizo

mm natumia Nokia 3120classic
mbona najaribu kudivert inagoma
hamna namna nyingine?
 
sasa kaspersky for mobile ina promo ya 7days zikisha hzo wanataka keyz so kama una keyz za kaspersky for mobile tusaidiane mm ilinishinda hpo2!

Anaweza kudownload "netqin" mobile antivirus ina features zote za kublock namba, anti theft etc... Ingia "getjar.com" i'search then download
 
Application nyingi zina blacklist tu kawaida! Yaani mtu akipiga anaambia "ndugu mteja namba inatumika kwa sasa" (hapo atajua)

Anaejua namna ya kublock yaani akipiga simu ijikate au aambiwe namba haipo! anisonteshee
 
Kwa Airtel inawezekana... divert kwenda no inayozidi no 10 hapo kila wakikupgia wataambia no sio sahihi ila texts zinafika.. mitandao mingne cjui kama atajibiwa no sio sahihi hasa voda wana kiherehere watamwambia ume divert kwenda no ingine...
 
voda wana kiherehere

Asante mkuu! Voda nikuidivert to 0822...
 
Back
Top Bottom