pole sana mkuu lakini jaribu ku-clear cookie au kama vp tumia google chrome maana internet explorer inazingua.. Then kama ilo sio tatizo jaribu kuingia usiku sana ambapo trafk ni ndogo. Gud luck mheshmiwaSalaam Wakuu,
Kwa siku mbili mfululizo nimekuwa nikijaribu kubadili course za mdogo wangu zilizowekewa comment tajwa bila mafanikio. Nikiclick kwenye selected programs inarudi tena kwenye page ya log in, naombeni msaada wakuu.
Bado tuvuti ya TCU inafunguka,
kwani unaweza fanya changes zozote..?deadline imeshapita
bado unaweza kubadili ila mwisho ni leo saa7
Someni taarifaa hiii
NOTEeadline for registration into Central Admission System is 04/07/2012 at
00:01 A.M. Applicants who have already registered into CAS are adviced to login and update their profile information before the deadline.
asa mbona deadline ishapita?
asa mbona deadline ishapita?
Ndo bongo mkuu!! ila kesho for sure lazina kitu kikate, coz wahadhiri tarehe 5 ndo wanaanza kazi za selection
Bado tuvuti ya TCU inafunguka,
umejuaje kama selection ni kesho dogo?
Deadline ni saa 6 usiku. Wahi
wakati wa kikao cha TCU na wakuu wa vyuo TCU ilitoa taarifa kua tarehe 05/07 wahadhiri wa vyuo watakutana na TCU kwaajili ya kufanya uteuzi.