Shedafa
JF-Expert Member
- May 21, 2008
- 802
- 173
Nina ki C5-03(nokia) kangu, ambacho nimekijaza application mpaka kiko full sasa nataka ku-unistall ambazo sizitumii ili niweze kufanya mambo mengine lakini sioni option hiyo. Yeyote mwenye kujua jinsi ya kufanya naomba anijuze, nashindwa kutuma maila na vitu vingine maana memory full. Msaada tafadhaliiiiiii!