Msaada jinsi ya ku-retrieve Password ya Pon-Blocker au kuiondoa

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,213
Wakuu nina Pon-Blocker ambayo ime-expire, sasa inablock hata programmes zangu za kawaida, nataka kuiunistall lakini nimesahau password, naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa please kwa anaefahamu.

Nimeandika hilo neno pon kwa sababu nikiandika neno kama linavyoandikwa page inakuwa blocked, nadhani mmeelewa waungwana, nisaidiane, hii programme imekuwa kama kirusi sasa/
 
Software yenyewe husika inaitwaje? Unaweza kuichomoa kutoka kwenye registry keys.
 
Back
Top Bottom