Msaada jinsi ya ku-extract RAR file lenye password

Nkamu

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
223
84
Wadau naomba msaada nimekwama! Nili-download kitabu kutoka kwenye ile list aliyotupa mheshimiwa Invisible. Kitabu inaitwa Handbook of Civil Engineering Calculation kimeandikwa na Tyler G. Hicks. Nili-download kikiwa katika .rar format, wakati wa ku-extract inaniuliza password iliyotumika ku-compress! Naomba msaada kwa anyejua namna ya kutoka katika kifungo hicho.
 
Hapo kutoka sio rahisi, kuna program za kuvunja password lakini kama iko ndefu kidogo inakua tabu sana.
Mwombe Invisible link ya site alipoitoa hiyo file, kwa kawaida watu wakipost link za Rapidshare wanapost na password yake kwa chini.
 
Back
Top Bottom