Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 289
Nimejaribu kutumia mail-merge kutuma ujumbe kwa multi-recepiet na kunipeleka kwenye microsoft outlook and i'm not very aware of this coz nimeshindwa kuendelea,can you assist accordingly?
Vilevilen,naomba msaada wa suitable software ambayo naweza kuitumia kwa kazi hii kwenye PC yangu.
Vilevilen,naomba msaada wa suitable software ambayo naweza kuitumia kwa kazi hii kwenye PC yangu.