Msaada: Jinsi luku inavyofanya mawasiliano

Zaidi ya mfano wa formular niliyotoa hapo juu ambayo ndio meter hutumia ku calculate tokens, sina zaidi kuhusu meter reading. Unlesss iwe sijaelewa vizuri what exactly do you mean by that

Come up with something more detailed labda tuanweza enda pamoja

Mkuu, itakuwa jambo jema kama utanielimisha meter reading mechanism
 
Zaidi ya mfano wa formular niliyotoa hapo juu ambayo ndio meter hutumia ku calculate tokens, sina zaidi kuhusu meter reading. Unlesss iwe sijaelewa vizuri what exactly do you mean by that

Come up with something more detailed labda tuanweza enda pamoja

Thank you sir.....
 
Unahitaji physical access ndani ya hiyo meter, ni issue ya kuchukua live terminal inayoingia kwenye meter na kuipeleka kwenye matumizi yako

Unaweza kuichukua toka ndani ya meter au hata nje ya meter lakini ni ile ambayo inatoka nje kabla haijaingia kwenye meter

Ukipata live terminal unafanya hiden wiring na kuipeleka kwenye matumizi yako, neutral unachukua sehemu yoyote hata iliyopita kwenye meter cause reading inafanyika kwenye live terminal tu

Advanced fox like me kuna circuit tunatengezeza where by hata wale jamaa wakija kukagua kwa mbinu wanyotumia ya kuzima mita na kutafula live circuirt hawaoni kitu

wrong! Tamper proof meter zinasoma current on both neutral and live wires. Hivo uki tap live wire reading ya neutral itakuwa ziadi ya live hence utashitukiwa tu. Alternative ya disconnecting live ku simulate black out pia haiwezekani cause time log data ya mita itakuwa tafouti na ya supplier.
 
Kumbuka akina Newton waliishi enzi hizo na ndio wameleta scientific revolution unayoiona leo, sasa wewe leo unajifanya umesoma na unaweza kuwa mwizi usigundulike, jaribu ku-bypass LUKU meter ukafie Segerea kwa upele.
 
Hayo niliyosema mimi umefanyia kazi ukaona matokeo yake au unabisha tu kwa kutumia theory?

Mi nisha bypass meter saba including mine, na zote nimechukua live peke yake neutral nachukua kwenye socket outlets ndani na zinafanya kazi hata kama unit kwenye mita ni 0

Jaribu kwanza isipofanyakazi ndio ulete feedback

wrong! Tamper proof meter zinasoma current on both neutral and live wires. Hivo uki tap live wire reading ya neutral itakuwa ziadi ya live hence utashitukiwa tu. Alternative ya disconnecting live ku simulate black out pia haiwezekani cause time log data ya mita itakuwa tafouti na ya supplier.
 
We lazima utakua ndondocha tu.
Hivi hawa kina rostam, balali, chenge, lowasa na wenzao wameanza kuiba tangu wakati wa nyerere ushasikia lini wameenda segerea?

Huko wanaenda mbulula

Kumbuka akina Newton waliishi enzi hizo na ndio wameleta scientific revolution unayoiona leo, sasa wewe leo unajifanya umesoma na unaweza kuwa mwizi usigundulike, jaribu ku-bypass LUKU meter ukafie Segerea kwa upele.
 
We lazima utakua ndondocha tu.
Hivi hawa kina rostam, balali, chenge, lowasa na wenzao wameanza kuiba tangu wakati wa nyerere ushasikia lini wameenda segerea?

Huko wanaenda mbulula

Hata kama hao uliowataja ni wezi kweli hawajawahi kuja kukuuliza namna ya kuiba,watafungwaje na ushahidi huna?
 
We lazima utakua ndondocha tu.
Hivi hawa kina rostam, balali, chenge, lowasa na wenzao wameanza kuiba tangu wakati wa nyerere ushasikia lini wameenda segerea?

Huko wanaenda mbulula

Mwanzo nilivyoelewa ilikuwa ni lecture yenye kutoa majibu ya muuliza swali,haikuwa na lengo la kufundisha watu kuiba. Sasa naona watu wanakuja na kashfa zao hapa, mimi naamini hawa ni wanafiki kwa sababu zifuatazo:
1.Kuna wizi unafanyika tanesco kila siku hawasemi.
2.Hapa sijaona ukiwalazimisha kuchakachua, kama wanaona ni mbaya watulie.
3.Si kila mtu anweza kuchakachua meter yake,mara nyingi mafundi wa tanesco ndio wanaohusika,mbona hawajaandama kwenda tanesco kutoa malalamiko yao.
4.Hata kama nikichakachua meter yangu,wao inawaathiri nini,hiyo si ni dhambi yagu na mungu wangu,wao inawahusu?
5.Inafahamika dhahiri kadhia ya Richmund na Doans,wahusika wanafahamika, sasa wanahitaji ushahidi gani?
6.Kila siku tanesco wanatukatia umeme hovyo,mbona wanalalamikia kwenye makwapa.Wamefanya nini?
7.Mbona kuna watu wanafumwa wamechakachua halafu wanaongea kikubwa na hao hao tanesco halafu mambo yanaishia hapo hapo site, wanafanya nini?

Yako mengi ya kusema,kiufupi baadhi ya watu ni wanafiki tu.Ni kweli sipendi wizi,lakini pia siridhiki na jinsi tanesco wanavyoniibia,tena hata mimi ningekuwa na uwezo,ningeishakuwa nimeshakachua meter yangua long time sana.

Mkuu, wasikukatishe tamaa hawa wanafiki wewe endelea kukata lecture. Watu wengine wageni humu,hawajajua jukwaa hili linahusika na nini,ndio maana wanapayuka payuka tu.

Big up kiongozi.
 
Back
Top Bottom