Msaada: Jinsi luku inavyofanya mawasiliano

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Nimefikiri mara nyingi kama kuna CHIP ndani ya mita ya luku as an interface na database ya TANESCO na kama ipo je inafanana na chip (sim) ya mobile phones?

Naomba kuelimishwa mechanism inayotumika au is the same as mobile communication kupitia service providers (Tigo, Airtel n.k)? Na ni kitu gani kina-power up baada ya kufanya transaction?
 
Nimefikiri mara nyingi kama kuna CHIP ndani ya mita ya luku as an interface na database ya TANESCO na kama ipo je inafanana na chip (sim) ya mobile phones?

Naomba kuelimishwa mechanism inayotumika au is the same as mobile communication kupitia service providers (Tigo, Airtel n.k)? Na ni kitu gani kina-power up umeme baada ya kufanya transaction?

Hakuna network connectivity between mita yako ya luku na tanesco billing system

Ile kitu hai recharge through auntentication process kama unavyo recharge simu

Instead inatumia hiden mathematics formula agaist token unazonunua

Tuseme kwa mfano kuwe na fomula kama hii

Token/10000+10 = units

Hapa kwa mfano umepewa token yenye number 100000 ukiweka kwenye mita yenye fomula hapo juu utapata units 20

Kama unajua hesabu najua tuko pamoja
Kifupi ndani ya mita kuna electronic chip kama calculator iliyo na formula, hiyo ndio ina calculate namba unazoingiza ili kupata units

Formula iliyopo ni very complex sio rahisi kama huo mfano hapo

Good day
 
Conta nimekupata mkuu, kuna hili suala la ku-power up umeme after transanction, je mechanism yake ikoje?
 
Unahitaji physical access ndani ya hiyo meter, ni issue ya kuchukua live terminal inayoingia kwenye meter na kuipeleka kwenye matumizi yako

Unaweza kuichukua toka ndani ya meter au hata nje ya meter lakini ni ile ambayo inatoka nje kabla haijaingia kwenye meter

Ukipata live terminal unafanya hiden wiring na kuipeleka kwenye matumizi yako, neutral unachukua sehemu yoyote hata iliyopita kwenye meter cause reading inafanyika kwenye live terminal tu

Advanced fox like me kuna circuit tunatengezeza where by hata wale jamaa wakija kukagua kwa mbinu wanyotumia ya kuzima mita na kutafula live circuirt hawaoni kitu
 
Muogope Mungu ndugu yangu. Unajisifia kuwa wewe ni mwiziiiii???? Shame on you

Tafakari kwanza unayemuibia ameshakuibia na anaendelea kukuibia kiasi gani

Usije jifanya mwema hapa kwenye thread ili watu wakuone wakati offline unaiba mpaka sadaka
 
Hwawa ndio Watanzania na Tanzania yetu!!!!

QUOTE=conta;4932818]Tafakari kwanza unayemuibia ameshakuibia na anaendelea kukuibia kiasi gani

Usije jifanya mwema hapa kwenye thread ili watu wakuone wakati offline unaiba mpaka sadaka[/QUOTE]
 
hakuna network ila inakuja na OS yake ukiiformat luku kwisha mchezo wake...
ila sijajua kama kuna mechanism za kuzihack hizi kitu
 
Sure, but pia uki format maana yake umefuta formula so hutoweza tena ku recharge token

Will be completely down.

Hacking ni kama ukipata recharge formula
Tanesco internal sources kwenye IT dept some of them wanayo

Pia kuna default recharge codes ambazo ukiweka zina recharge 100 units

Mkuu

  1. Je ni kwanini umeme ukikatika ukinunua umeme kwa njia ya simu hupati tokeni mpaka umeme urudi kwenye mita hiyo?
  2. Je ni kwanini Tansesco wanaweza kupata taarifa ya tranfoma yenye hitilafu kwa kutumia ufumo wa mawasiliano wa Komputa?
 
3. Je kwanini zile nguzo kubwa za HT endapo moja ina mushkeli, wanaifuata direct tokea ofisini bila kubahatisha?
 
Unaweza kununua umeme bila tatizo hata kama mita unayonunulia umeme iko offiline, chunguza vizuri. Kinachoweza kutokea ni kama umeme umekatika eneo kubwa inaweza kuwa recharging system nayo inakuwa offline, in such way huwezi kukunua umeme

Transfomer monitoring ni kitu tofauti ambapo tanesco wamefunga monitoring systems kwenye baadhi ya transfomer ambazo akitokea zinakuwa offline system inatuma alert, na hii wametumui GSM network hizi za simu kupata connectivity. Hii iko kwenye baadhi ya transformer chache sana na nafikiri iko kwenye majaribio

Trust me hakuna data conectivity kwenye HT poles, zile ni nguzo tu zinabeba cables kupeleka kwenye transformers.

Nguzo ikianguka ni kazi ya kufuatilia one to another? By the way wako watu wanaojua vizuri nguzo zote hata zile zilizo kwenye hali mbaya so wakipewa taarifa waaenda direct kwenye poles wanzojua zilikua na utata

3. Je kwanini zile nguzo kubwa za HT endapo moja ina mushkeli, wanaifuata direct tokea ofisini bila kubahatisha?
 
Unaweza kununua umeme bila tatizo hata kama mita unayonunulia umeme iko offiline, chunguza vizuri. Kinachoweza kutokea ni kama umeme umekatika eneo kubwa inaweza kuwa recharging system nayo inakuwa offline, in such way huwezi kukunua umeme

Transfomer monitoring ni kitu tofauti ambapo tanesco wamefunga monitoring systems kwenye baadhi ya transfomer ambazo akitokea zinakuwa offline system inatuma alert, na hii wametumui GSM network hizi za simu kupata connectivity. Hii iko kwenye baadhi ya transformer chache sana na nafikiri iko kwenye majaribio

Good day

Mkuu, itakuwa jambo jema kama utanielimisha meter reading mechanism
 
dah! kweli jf ni kila kitu....viva wadau tunapata leacture ya bure hapa....:A S thumbs_up:
 
Nadhani luku mita zinayo microproceser na software ambayo ina decode/tafsiri token number.
 
Back
Top Bottom