Msaada, jinsi gani ya kuweza kuaccess computer yangu popote nilipo kwa kutumia internet...?

Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
habari za kwenu wanaJF,
naombeni mnisaidie niweze kujua jinsi ya kuaccess computer yangu nikiwa popote. Yani kama nikiiacha inawaka nyumbani basi nikiwa kazini niweze kuiaccess na niwe naitumia utadhani nipo nayo...
Nahisi nimeeleweka..naomba msaada..
natumia windows7 ultimate..
 
Jaribu hii Program inaweza kukusaidia inaitwa Team View.....

TeamViewer 7 (Windows)

With the numerous new remote control features, you can now work more intuitively, easily and quickly. Expand your possibilities as well and start using TeamViewer 7 for online meetings today.

Download
Download

Do you have a TeamViewer license already? Buy your update now
TeamViewer is free for all non-commercial users!
tv7_screenshots_en.png

tv7_remote_control.jpg
Remote Control

file_transfer.jpg

Kui Download Bonyeza hapa TeamViewer Download

yap mkuu am interested on it plz nijuze vizur,pc yangu itahtaj additional component au ni iyo software peke yake
 
Nashukuru sana MziziMkavu...je kuna njia nyingine ya kuweza kufanya hivi kwa kutumia web-browsers au anything else which is integrated in the system(not third party software) for unattended connection?...nilishawahi ona kwenye blog moja wanazungumzia how to do this but ni muda kidogo so sikumbuki.
 
Last edited by a moderator:

TeamViewer haihitaji iwe attended, ukisha setup unaweza kukonnect kwenye PC yako kutoka kokote ili mradi uiache on/connected/teamViewer running na uwe na hizo details za kulog in.

TeamViewer pia inafanya kazi kupitia browser kwa upande ule unaotaka kukonect, so unaweza ukaenda cafe na kulogin kwenye PC yako ya nyumbani kwa kwenda kwenye website ya teamviewer bila kuinstall kitu cafe. Plus kuna apps za Android/ipHone/iPad yote haya ni bure kwa private use.

Windows ina feature inaitwa Remote Assistance ambayo inafanya same thing ila hauwezi kufanya unattended.
 
sasa mkuu nimekuelewa ila unatumia connection gani ili ku' access computer nyingine?
 
Ili mradi zote mbili ziwe connected na internet. Ukiwa na connection yenye spidi zaidi unatumia kwa raha zaidi maana itakuwa hainati na graphics nzuri.
 
Back
Top Bottom