Msaada:je mimba hii inaweza kuwa yangu?

ndisinzowa

Member
Aug 18, 2010
86
14
Nina gf wangu,alinambia anakaribia kubleed na dalili za kubleed amezisikia yaan kama siku mbili zijazo atableed.tukaduu bila kinga,sasa ananambia ana mimba,je inawezekana kweli mimba ikawa yangu?.kwan navyo elewa akikaribia kubleed yai linakuwa limeharibika.je ni yangu au nimeibiwa hapa?
 
hakuna kitu kama hicho kuna lingine linawezekana likawa halijaharibika ndio maana wanakuambia usiduu kwa siku tatu baada ya kubleed so lazima iwe yako jombii..
 
Nina gf wangu,alinambia anakaribia kubleed na dalili za kubleed amezisikia yaan kama siku mbili zijazo atableed.tukaduu bila kinga,sasa ananambia ana mimba,je inawezekana kweli mimba ikawa yangu?.kwan navyo elewa akikaribia kubleed yai linakuwa limeharibika.je ni yangu au nimeibiwa hapa?

Watu wengine bana! Wewe unajua matokeo ya hicho kitendo halafu unatuuliza sisi tukusaidie! Leeni mimba yenu bana, acha kutafuta visingizio vya kuikwepa.
 
As long as unafanya ngono nzembe na asiye mkeo, una uwezekano mkubwa wa mimba kuwa yako. Kula zabibubutoe majibu baba
 
Nina gf wangu,alinambia anakaribia kubleed na dalili za kubleed amezisikia yaan kama siku mbili zijazo atableed.tukaduu bila kinga,sasa ananambia ana mimba,je inawezekana kweli mimba ikawa yangu?.kwan navyo elewa akikaribia kubleed yai linakuwa limeharibika.je ni yangu au nimeibiwa hapa?

mimba sio yako ni ya huyo GF wako!
 
Duu kazi ipo, mi hapo umenchanganya kdg.. bado cku mbili ableed mka duu.. ok.. sasa tukianzia hapo umeshamix mambo.. haiwezekani mkaduu 2 days b4 afu apate mimba.. na kama mlifanya ivyo afu kweli after 2 days akaanza period mimba itatokea wapi????? Unless unambie alivyomaliza kubleed haukudo nae teeeeena mpaka unavyotuletea thread hii and if that is the case, mimba haiwezi kuwa yako..na ndio maana ni muhimu sana kujua mzunguko wa mpnz wako na pia kuzijua cku hatari ni zipi, ukishajua vitu hivyo viwili itakusaidia kuzuia mimba zisizo na matayarisho....
 
afadhali umenena,kwanza mtu anapoanza ku'bleed,yai linakua lilishakufa 2weeks ago....bcoz for a cycle of 28 days,yai hutoka siku ya 14,hypothetically huyu mtu anakua kamaliza bleed siku ya tano(yaani siku 9 zilizopita kabla ya yai kutoka).With no doubt,hiyo mimba si yako.......huyo bibiye muongo....
 
Mi nilikimbia topic ya reproduction..kwa hiyo mi
sisemi kitu hapa,ndo maana sifanyagi ngono zembe kwa kuogopa kuibiwa huku.
 
mlete hapa na yeye atoe maelezo yake ndo tutoe maamuzi....usije kuwa unakimbia majukumu...utavuna ulichopnda mkuu...:argue:
 
unataka kukimbia majukumu!na maradhi mbona huuliwzi kama umepata au hujapata.kuna ukimwi,gono,kaswende nk hayo unaweza ukawa umeyapata.
 
umepata uhakika kuwa ni kweli ana mimba????
mchukue huyo gf wako nenda clinic au hata nenda kwenye pharmacy nunue kale ka kipimo ka mimba atie mkojo humo, upate uhakika kama mimba ipo au la! then ndio utafute ushauri..

hata hivyo nina ushahidi wa kutosha tu kuwa kuna baadhi ya wanawake huwa wanaendelea kuona siku zao hata wakiwa wajawazito, mwanafunz mwenzangu chuon alibleed mpaka mimba ikafikisha miez mitano alishangaa tu tumboo linaendelea kukua na ana dalili za mimba lakn alipuuzia kwa kuwa alikuwa anaona siku zake alipoenda hospital akaakutwa ni mjamzito.

ONYO.....
ukikuta mjamzito uwe mwanaume kweli, usije ukashaur hyo mimba itolewe kumbuka ni damu yako, mwanaume wa kweli huwa anawajibika kwa matendo yake.........goodluck
 
Back
Top Bottom