Msaada jamiiforums Dr'

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Nina mchumba wangu pindi anapofka kwenye hedhi huwa anapata maumivu makali, vichomi,na tumbo kumuuma kiasi cha kukosa hata ham ya kula msaada wenu ni muhimu kwa sababu naamin hakuna jambo litakalo kushnda kama utakuwa na kawaida ya kuwashilikisha watu juu mambo mbalimbali katika ufumbuzi asanteni
 
moja ya ufumbuzi ni kupata kupata kuzaa, ingawa wapo wachache ambao wamezaa na wanaendelea kupata maumivu kiasi.
 
Yah an experience from one of my relative baada ya kuzaa maumivu yalikata
 
Pole kwa kinachomfika mwenza wako, kuna dawa inaitwa "No Spasm" huwa inasaidia kupunguza maumivu, ila kama washauri waliotangulia walivyosema, pindi atakapo zaa tu hili tatizo litapungua kwa kiasi kikubwa, almost 95%.
 
Hiyo ni dysmenorrhea inasababishwa na uterine spasms kwahiyo akifikia kipindi cha kuona siku zake mpe antspasms kama hyosine au spaslin vidonge.
 
Hiyo ni dysmenorrhea inasababishwa na uterine spasms kwahiyo akifikia kipindi cha kuona siku zake mpe antspasms kama hyosine au spaslin vidonge.

Pia anaweza kutumia prostaglandin blocker Kama Mifenamic acid kwani uterine contractions husababishwa na prostaglandin.
 
Lakini pia anapokaribia kwenda katika siku zake, mwili hu-sense (huwa unajiimarisha) kukabiliana na kiasi cha damu kitakachopotea katika siku hizo kadhaa, katika kujiandaa huko, mwili utazuia sehemu kubwa ya maji kutotumika kiholela (unayahifadhi kwa dharura inayotegemewa kutokea), si unajuwa maji ni uhai?.

Unajuwa kuwa asilimia 94 ya damu ni MAJI?, ni kama kusema kwa kila lita 10 za damu, lita kama 9 hivi ni maji na lita 1 ndiyo damu yenyewe. Damu huishi ndani ya MAJI, maji yanaweza kuwepo bila damu, ila kamwe damu haiwezi kuwepo bila maji. Hata ukijikata kwa bahati mbaya utaona maji mekundu yakitiririka, sisi huyaita maji hayo kuwa ni damu, ukweli ni kuwa hayo ni maji, damu huwa ndani ya hayo maji na pengine hatuwezi kuiona damu kwa macho pekee bila darubini.

Mwambie ajitahidi kunywa maji, asisubiri kiu ndipo anywe, tena mwambie asinywe maji ya kwenye friji, anywe ya kawaida tu, pengine anaweza kunywa juisi juisi za matunda (juisi aliyotengeneza mwenyewe, siyo ya dukani).

kama atahitaji kweli mtoto ili maumivu (ambayo kwa sehemu kubwa ni ishara za mwili kuwa na usawa mdogo wa maji), mwambie ani-PM naweza nikamsaidia.

Nyumbani | maajabuyamaji.net
 
Asante Dr kwa ushauri wako yakinifu may God be with us long live with succes! Thanks.
 
je kwa wale ambao wamesha zaa inakuwaje maana si kwa huyo nimekumbana na wamawake wengi wakilalamika na wanawatoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom