Msaada jamani!

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
Naomba kwa anayejua gharama za bandarini (port charges) kwa gari lilioagizwa toka Japan! na pia ni muda gani gari likikaa bandarini bilakuchukuliwa linaanza kuchajiwa storage charges na hizi storage charges zipoje!
 
mkuu

port charges zinategemeana na ukubwa wa gari yaani cubic meters (CBM), storage unapewa 7 days free .... hesabu za haraka .... storage around $8 per day .... handling $5 na wharf charges ni kiasi kigogo sana
 
Naomba kwa anayejua gharama za bandarini (port charges) kwa gari lilioagizwa toka Japan! na pia ni muda gani gari likikaa bandarini bilakuchukuliwa linaanza kuchajiwa storage charges na hizi storage charges zipoje!

storage fee baada ya siku saba tangu kushuhswa toka melini, gharama za bandarini zategemea na aina ya gari pia na size ya gari, kwa kifupi ni hivyo wengine wanaweza fafanua, asante
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom