Msaada jamani!!!!!!

happy amos

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
251
434
naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote kuanzia miaka aliyozaliwa, chuo anachosomea, kozi anayosemea kifupi nusu ya maisha yake yote niuongo sasa basi juzi kuna mwanamke kamtext msg ya mapenzi kibaya nikaiona nikampigia huyo mwanamke akaniambia kuwa nimpenzi wake wa miaka mnne sasa. nikimuuliza mwanamme anakataa wakati mwanamke kaniambia kilakitu kuhusu yeye nifanyeje jamani kwani before hakuniambia kama alikua na mahusiano na mwanamke huyo na bado wakaendelea kuwasiliana kwa siri na yule mwanamke!
 
Wewe unataka tukushauri jinsi ya kuishi naye au jinsi ya kichana naye?
Mbona vitu vingine haviihutaji ushauri ni maamuzi tu!

Haya take this:-
Huyo anakupenda ndio maana yuko na wewe, halafu mtoto wa kike huruhusiwi kuchunguza Simu za mwanaume. Past yake haina maana kama amekuzawadia present yake!
 
huyo amekua c mkweli so haina haja ya kuendele kuwa nae we jiachie otherwise atakuletea mengi ukijifanya mvumilivu!
 
naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote kuanzia miaka aliyozaliwa, chuo anachosomea, kozi anayosemea kifupi nusu ya maisha yake yote niuongo sasa basi juzi kuna mwanamke kamtext msg ya mapenzi kibaya nikaiona nikampigia huyo mwanamke akaniambia kuwa nimpenzi wake wa miaka mnne sasa. nikimuuliza mwanamme anakataa wakati mwanamke kaniambia kilakitu kuhusu yeye nifanyeje jamani kwani before hakuniambia kama alikua na mahusiano na mwanamke huyo na bado wakaendelea kuwasiliana kwa siri na yule mwanamke!

Kuna usemi unaosema ni afadhali uishi na mchawi kuliko muongo!!! Kama una ushahidi wa kutosha kuwa ni muongo, achana naye maana hata kukwambia anakupenda inaweza kuwa anakudanganya, na hata ahadi za kuja kufunga ndoa pia zinaweza kuwa ni za uongo! Naendelea kufikiria zaidi kuwa hata mkipanga naye mipango ya maendeleo inaweza kuwa ni uongo na mbaya zaidi hata hao rafiki zake atakaowaleta kukutambulisha kuwa ndugu zake inaweza kuwa ni uongo, ni wapenzi wake na anatafuta uhalali wa kukutana nao pasipo wewe kuwa na shaka! Kwa kifupi kila kitu ktk maisha yenu 50% itakuwa ni uongo!

Mimi binafsi watu waongo, huwa siwakubali kabisa kama ilivyo kwa watu wasio waaminifu ktk mahusiano yao!
 
Wewe unataka tukushauri jinsi ya kuishi naye au jinsi ya kichana naye?
Mbona vitu vingine haviihutaji ushauri ni maamuzi tu!

Haya take this:-
Huyo anakupenda ndio maana yuko na wewe, halafu mtoto wa kike huruhusiwi kuchunguza Simu za mwanaume. Past yake haina maana kama amekuzawadia present yake!

sijachunguza simu nilikua nayo mimi naitumia ndo hapo msg ya mapenzi kuingia hata kama ungekuwa wewe ungeiacha bila kuifanyia kazi?
 
Sasa tukushauri nini jamani na wakati kila kitu kipo wazi??ni wewe tu kuamua kusuka au kunyoa but ingekua mie hata nisingeanzisha uzi ningeshachukua maamuzi mda mrefu sana!
 
Shosti,mwenzio anamiaka wewe unamiezi,kwani nafsi yako inakwambiaje uendele nae atawacha au mpe mda ataungama? Ningekua wewe sikunikijua ananidanganya ndio tushamalizana,sass wewe kabla ya SMS umejua Kama muongo unasubiri nn? Na wala SMS sio kipimo anaweza tuma mtu yoyote kuharibu lakini kile ulichokijua nakukichunguza ndio muhimu,samahani Kama ntakua nimekukera....
 
huyo alokupa story huenda muongo anamtaka. Waulize wengine wanaomjua.
 
miezi minne tu, na umeshajua uongo wake kibao, baada ya mwaka ndio utajuta kabisaa, achana nae
 
Unataka msaada gani na evidence zote unazo, mbona wavivu wa maamuzi na fikra?
 
Unataka msaada gani na evidence zote unazo, mbona wavivu wa maamuzi na fikra?

sio uvivu wa maamuzi unajua nilikua nampenda sana na hii imetokea gafla so nahisi kuchanganikiwa wanajamvi nadhani maumivu ya mapenzi
 
sijachunguza simu nilikua nayo mimi naitumia ndo hapo msg ya mapenzi kuingia hata kama ungekuwa wewe ungeiacha bila kuifanyia kazi?

huyo kaka atakuwa amekuloga,coz kwa majibu kama haya hata cjui nikushauri.,may b try "KUACHANA NAYE" labda itasaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom