Msaada jamani

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
Leo asubuhi nimeingia kwenye email address yangu kusoma email kama kawaida yangu lakini cha ajabu nimekuta contacts zote nilizokuwa nimeifadhi zimefutwa. Na kibaya zaidi kuna watu wangu wa muhimu sana tena ninaofanya nao biashara wananilalamikia kwa kuwatumia email message za ajabu. Sasa najiuliza nini kimetokea kwenye email yangu wakati hakuna mtu mwingine yeyote anayeifahamu password yangu. Am real confused maana nimepoteza contacts za muhimu sana kwenye kazi zangu za biashara ndani na nje ya nchi. Mimi natumia yahoo.com. Nisaidieni wana JF ili niju ni nini kimetokea na nifanye nini ili kuzuia hali hii isitokee tena. Asanteni
 
Run Anti Virus kwenye pc yako na kuwa makini usifungue e-mail kutoka kwa watu usiowafahamu.
 
thanks alot Senior, and i remember now two months ago i read two messages from unknown persons to me from West Africa
 
kilichotokea kwa emai yako ni kwamba one of the hacker ameweza kupata email address yako.ktk pc yako kuna open ports ambazo jamaa ametumia kuingia na kuiba information zako.
kitu kingine ni kwamba network unayotumia si secure!
nakushauri hivi download software moja inaitwa threat fire au nyingine inaitwa spy boart seacrh and destroy,then installl kwa pc yako ili kuongeza security.
usisome email from watu ambao huwajui,usiwe na mazoea ya kuapdate windows online,
usifungue attachment yoyote yenye picha ambayo ina .exe, hata kama inatoka kwa mtu inaemfaham.
antivirus uliyonayo haizuii si imara sana kwa hacker, pc yako inahitaj more security sana.hakikisha most of ur folder unazilock.
kwa mawasilianao zaidi :tumia maleges@yahoo.com
 
thanks alot for the nice advice,
 
Are you diong a research??

basically research is my work but for this thread am not doing a research, this is the serious problem in my part. But still i appreciate your question my fellow Senior!!
 
We jamaa unayeitwa BURN si mshauri mzuri... Why the hell unamwambia

jamaa kuwa kwa vile yeye ni researcher, basi afanye utafiti mwenyewe

kwenye computer yake?

Kama huwez kutoa msaada bora ukae kimya- sio kudiscourage watu mzee

- Big respect!
 
leo asubuhi nimeingia kwenye email address yangu kusoma email kama kawaida yangu lakini cha ajabu nimekuta contacts zote nilizokuwa nimeifadhi zimefutwa. Na kibaya zaidi kuna watu wangu wa muhimu sana tena ninaofanya nao biashara wananilalamikia kwa kuwatumia email message za ajabu. Sasa najiuliza nini kimetokea kwenye email yangu wakati hakuna mtu mwingine yeyote anayeifahamu password yangu. Am real confused maana nimepoteza contacts za muhimu sana kwenye kazi zangu za biashara ndani na nje ya nchi. Mimi natumia yahoo.com. Nisaidieni wana jf ili niju ni nini kimetokea na nifanye nini ili kuzuia hali hii isitokee tena. Asanteni

ndugu kwani huwa heki copy ya sent email ? Angalia kwenye sent mail inawezekana ukapata contacts chache , halafu kingine ukiwa na account ya gmail unapotuma email tu ile anuani huwa inajihifadhi katika contact list yako moja kwa moja unaweza kuiexport kuweka katika flash hata katika cd kwa matumizi ya baadaye kama hiyo ilivyotokea

kingine uwe unapenda kufanya backup ya email zako

hiyo inawezekana hata sio hacker hata ni mtu anayekujua tu kafanya kusudi

naweza kukuambia kwanini sio hacker ---- next time

tuendelee na mjadala
 
Back
Top Bottom