Msaada jamani

Mtanganyika1

Member
Sep 13, 2011
56
5
Habari zenu wana jf.

Naomba msaada wa kubadilisha lugha kwenye komputa, nimeachiwa komputa na mkorea inasoma kikorea kila kitu nilikuwa nafanya naye kazi ofisini moja sasa yeye muda wake wakukaa nchini umeisha akaamua aniachie komputa yake,naamesha ondoka, nilimwambia anibadilishie naona mambo yalikuwa mengi naleo kaileta.

kutoka kikorea kewnda kingereza.
 
nakushauri utafute mtaalamu kama wewe huwezi ili afanye installation ya window upya, pia hii mada ilitakiwa iwe tech, gadgets and science forum kule ndio waliko wataalamu.
 
Nashukuru kwa ushauri wenu,nimejaribu hata kugoogle inaniambia ni download kiprogram fulani ndo install,kama ingelikuwa window xp yenyewe unaingia kwenye contol panel halafu una double klick kwenye language change.
ngoja nipige chini window nianze upya.
 
Habari zenu wana jf.

Naomba msaada wa kubadilisha lugha kwenye komputa, nimeachiwa komputa na mkorea inasoma kikorea kila kitu nilikuwa nafanya naye kazi ofisini moja sasa yeye muda wake wakukaa nchini umeisha akaamua aniachie komputa yake,naamesha ondoka, nilimwambia anibadilishie naona mambo yalikuwa mengi naleo kaileta.

kutoka kikorea kewnda kingereza.

ni-PM ntakusaidia.
 
usipige window chini utakosa vitu vingi i hope huyo mkorea sio mwizi na kila kitu amenunua kwenye hio laptop kama ant virus na hio window so utavipata wapi tena??

Kuna wataalamu wa kikorea vyuoni mfano udom why usijaribu kuwasiliana na rafiki yako au kuenda mwenyewe udom au udsm na kuongea na mmoja akusaidie??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom