Msaada jamani.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Computer yangu ni Dell intel p 4,RAM 640,PRO.2.40GHz WIND.XP2 nikipiga nyimbo in high volume computer inastuck kila kitu kinasimama, kasa haitembei mpaka niizime.NAOMBA MSAADA
 
Duh...computer yenye memory kubwa hivyo haitakiwi kufanya hivyo, inatumia built in speaker au external? huenda Sound Card ina shida jaribu kubadilisha au huenda kuna memory ina shida kama ina chip zaidi ya moja ya memory, bakiza moja washa computer na kujaribu kila moja kwa namna hiyo mpk upate yenye shida
 
Computer yangu ni Dell intel p 4,RAM 640,PRO.2.40GHz WIND.XP2 nikipiga nyimbo in high volume computer inastuck kila kitu kinasimama, kasa haitembei mpaka niizime.NAOMBA MSAADA

Mhmmm!!! Ukiona tatizo kama hilo ujue kuna tatizo katika hardware na mara nyingi tatizo hilo huwa katika hard disk. Mara nyingi tatizo hilo hutokea endapo hard disk ina bad sectors na wakati mwingine inaweza ikakuletea screen ya blue ikionyesha error codes flani flani. Screen hiyo ya blue kwa jina la kitaalamu tunaita BSOD yaani Blue Screen Of Death na solution ya kuondoa hilo tatizo ni kurepair bad sectors katika hiyo hard disk au kubvadilisha hard disk na kuweka hard disk mpya. Pia tatizo kama hilo linaweza kutokea endapo system files zimekuwa damage or corrupted hasa by virus. nakushauri kufanya uchunguzi ili kujua tatizo liko wapi ila mimi nina uhakika kutakuwa na bad sectors katika hard disk yako. kama utahitaji ushauri zaidi unaweza kuniPM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom