Msaada jamani

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
habari zenu wakulu! Natakakusoma CPA ila sijui qualification zao nimejaribu kuingia kwenye web yao ila link ya qualification haifunguki ila inaleta error.Hivyo basi kwa mwenye ufahamu juu ya:
1)Sifa za kufanya mitihani ya CPA
2)Ada ya kujiunga
3)Ada ya kufanya mtihani
4)Sehemu zinapofanyika Review classes
5)Kwa mtu asiyekuwa na Diploma au degree ya accountancy ataanzia module ipi?
6)Pia na ushauri kama upo.
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom