Msaada jamani!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,839
...habari Kwahisani ya Globalpublisherstz.com

View attachment 2240
Bi. Maua Shaha (kushoto) akiunyanyua mkono wa mwanae Abdalah Mbonde, leo mchana kuwaonesha Waandishi wa Habari uvimbe unaozidi kumuongezeka kila kukicha na kuwaelezea jinsi anavyopigwa danadana na Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili juu ya kumfanyia upasuaji mwanae huyo.

...kuna mtu mwenye uwezo wa kulifuatilia hili kwa karibu huko nyumbani? it is very touching!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom