Msaada jamani

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Asalaam alekum wanajamvi?naomba msaada wenu katika maneno haya UPEMBUZI YAKINIFU na SUALA MTAMBUKA.nimekuwa nikiyasiki yakitumiwa sana na wanasiasa hasa mjengo lakini sijajua ni muktadha wa mjengoni au ni mbwembwe za wanasiasa tu.naomba kuwasilisha.
 
upembuzi yakinifu: uchunguzi wa kina
suala mtambuka: ni suala linalomgusa kila mtu au jamii tofauti za wanaadamu.
eg. AIDS ni suala mtambuka kwa kuwa kila mmoja wetu natapaswa kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa huu.
mimi si mweledi sana wa kiswahili ila huu ni mtazamo wangu tu
 
mkuu uchunguzi wa kina kwa maana ya "detail evaluation" au "research" naomba msaada hapo
 
uchambuzi yakinifu = critical evaluation ie will envolve a sort of research first ndio utapata uchambuzi yakinifu
uchunguzi wa kina = thorough investigation - technical words za kisw bado zinatusumbua mkuu




 

Similar Discussions

Back
Top Bottom