Msaada jamani

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,287
Wapendwa habari zenu mie mgeni mwenzenu naomba kujua hili etii vile vifaa vya kupima ujauzito, jina la kitaalamu silijui vina mstari wa blue na red vinatumika kipindi kipi haswa i mean,kuanzia muda gani tangu umekutana na mwanamume!!? ntashukuru kwa msaada wenu.
 
i see vipo vinavyoonyesha kuanzia ten days mpaka 3 weeks
lakini kuna sehemu niliona vya 4 days ingawa ni ngumu kuvipata kwenye maduka yetu ya dawa
 
wapendwa habari zenu??
mie mgeni mwenzenu naomba kujua hili! etii vile vifaa vya kupima ujauzito,jina la kitaalamu silijui vina mstari wa blue na red vinatumika kipindi kipi haswa i mean,kuanzia muda gani tangu umekutana na mwanamume!!? ntashkuru kwa msaada wenu

We ukionda ktk maduka ya dawa,wambie unahitaji Kipimo cha mimba cha nyumbani/Home Pregnancy test....wao wataelewa na watakupa. embu na wengine elezeeni basi..
 
Umecheza rafu nini? Mimba sio issue sana kapime Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa
aaah wapi nipo fit af nimeongeza na kikombe ya loliondo kwA kinga so virusi
hata kama vikubwa kama mende wa toilate vinagongana na loliondo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom