msaada jamani waungwana, N72 inazingua

kholo

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
413
75
Habarin za leo wana jamv! Naomben msaada juu ya hii sm yangu ya NokiaN72, inapokea message mfululizo zinazosomeka "salio lako halitoshi", ukiziacha zinafika hadi 1000, na ukiweka vocha inaisha bila kutumia. Nimechunguza settings zote naona kama ziko sawa as sijui tatizo liko wapi? Naomba msaada jamani. Natanguliza shukran wakuu.
 
Mi nadhani tatizo co cmu bali ni mtandao unao2mia so,nenda kwenye customer care ya kampuni ya mtandao wako unao2mia
 
Pole sana na mie simu yangu ni Nokia N97 ina tatzo la kuto-display picha kwenye sreen lakn keypad inawaka kawaida sijui tatzo nn msaada jaman!
 
Jaribu kubadili sim card za mitandao tofauti, tatizo likendelea basi simu itakuwa na matatizo ya kutuma kitu fulani kinachopelekea hali hiyo
dawa yake ni master reset
Na kama ni sim card moja tu basi simcard hiyo inamatatizo, waone wahusika customer care
 
Back
Top Bottom