Msaada jamani wanajamvini

Sina pa kwenda

Senior Member
Nov 18, 2010
113
15
Habari zenu wanajamvini, mie nina dogo wangu mmoja alikuwa anapply via tcu sasa ikawa inamgome sana akaenda tcu walikuwa pale viwanja vya posta wakajaribu nae wakaona kweli inagoma alikuwa anaapply cbe evening undergraduate sasa yeye inakuwaje kwenye suala zima la kujua kama kachaguliwa au laah.
 
Back
Top Bottom