msaada jamani wadau wa JF

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Jaman wadau naombeni msaada wenu wa hali na mali, kuna ndugu yangu m1 ana kiwanja chake maeneo ya tegeta sasa kuna mtu amevamia akajenga kwenye hcho kiwanja hvvyo anaomba msaada wa mabunsa ili wakabomoe hyo nyumba haraka iwezekanavyo kwa sababu ye anataka kujenga ya kwake........... kwa hyo kama humu kuna mabaunsa naomba tuwasiliane ili tukamsaidie........... nawasilisha ombi langu..:help:
 
Mimi ni baunsa lakini kumbuka Shoka likipigwa kwenye msuri halidundi!!
 
tehe tehe tehe! Are you serious manake Umenifanya ncheke peke yangu! Mapanga hayana cha baunsa!
Jaman wadau naombeni msaada wenu wa hali na mali, kuna ndugu yangu m1 ana kiwanja chake maeneo ya tegeta sasa kuna mtu amevamia akajenga kwenye hcho kiwanja hvvyo anaomba msaada wa mabunsa ili wakabomoe hyo nyumba haraka iwezekanavyo kwa sababu ye anataka kujenga ya kwake........... kwa hyo kama humu kuna mabaunsa naomba tuwasiliane ili tukamsaidie........... nawasilisha ombi langu..:help:
 
Nipo ndani ya Daladala ipo 'nyomi' ila umenifanya nilipuke kwa kicheko! Nenda mwenyewe na familia yako. Mali ni yako na familia yako. Sivyo?
 
Mkoloni mimi nilidhani tunaenda wote, sasa ni hivi mimi takuwa mwenge mkifika mtaniambia nyie tangulieni msiondoke mpaka mimi nije, mpaka saa kumi mkiona siji mjue naumwa nyie muendelee tu

sasa uoga wa nini ndugu yangu? We c kila siku nakuona pala bahama mama unafanya gym halafu leo unakuwa mwoga tena? Me nadhan wakiona hcho kfua watabomoa wenyewe.. Tena ukivaa na ile tshet yako iloandkwa 'chatu dume' ndo itakuwa poa.
 
Nipo ndani ya Daladala ipo 'nyomi' ila umenifanya nilipuke kwa kicheko! Nenda mwenyewe na familia yako. Mali ni yako na familia yako. Sivyo?

tusaidiane jamani wandugu.JF members ni wanafamilia wenzangu so nahtaj msaada wenu.
 
tusaidiane jamani wandugu.JF members ni wanafamilia wenzangu so nahtaj msaada wenu.

Nimetoka kuongea na Kamanda Kova anasema mkifika muanze kubomoa amna tatizo lolote, yeye awezi kuja yupo kwenye kikao kitakachotokea namba zake za simu ni 0875 6609400 mtampigia kama mmemaliza kubomoa
 
Back
Top Bottom