msaada jamani wa sheria kwa anayejua hii

congobe

JF-Expert Member
May 31, 2012
561
129
nataka kuhama kituo cha kazi kumfuata mume wangu nime ambatanishabarua na cheti cha ndoa cha ajabu DEO ana nambia nipereke mwalimu mbadala ndo nipate kuhama kituo cha kazi naomba ushauri wenu jamani
 

Attachments

  • dany.doc
    19.5 KB · Views: 30
Back
Top Bottom