Msaada jamani wa haraka jinsi ya kuapply ikiwa hivi...

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Habari?,mfano kampuni au taasisi imetoa nafasi mbili au tatu ambazo UNAQUALIFY zote,je unaweza omba zote?,na ktk uombaje unatuma bahasha mbili au unatuma katika package moja lkn barua mbili?. Asanteni sana
 
Kiufupi inatakiwa uombe separate yani unatuma bahasha tatu kila moja itawakilisha nafasi ulioomba; then wao sasa ndio jukumu lao kuchuja na kuona which position among ulizoomba wakushort list kwenye interview...nadhani umenipa mwana JF
 
Pia Unaweza Kuomba Ktk Barua Moja Kwa Kuorodhesha Post zilizotajwa na wewe unaujuzi nazo ktkt heading, ikiwa uchumi hauruhusu.
 
nashukuru wakuu,dah uchumi wenyew barua 3 ni kazi kweli.
 
Back
Top Bottom