Msaada jamani urgently

DAVIES

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
514
90
Kuna rafiki yangu aliacha kazi serikalini tangu mwezi wa 5 huko kigoma ni clinical officer afya sasa akaja dar kufanya kazi kule wakafunga mshahara ila kafanya application upya na kapata mbeya je haita leta madhara atakapoenda kuripoti japo mimi nilimwambia asubiri kwanza hebu wanajamvi wenye uelewa wowote hapa ili nimwambie akaripoti au asiende na kigoma hayupo tayari kurudi hata kwa dawa ushauri tafadhali
 
The same applies to me, hata mimi niliacha somewhere wakasimamisha saraly, ajira mpya za walimu najua napangwa na naenda kuanza na moja. Asiogope kule anaenda kuanza na 1.
 
Back
Top Bottom