msaada jamani pliz

kukuye

New Member
Apr 4, 2012
3
0
ni mara yangu ya kwanza kujiunga jf baada ya kuchoka kusoma post kama mgeni,ombi langu kwenu ni kuwa natafuta housegirl muathirika wa ukimwi ,yeyote mwenye kuweza kunisaidia ani pm asanteni
 
Unatafuta housegirl muathirika wa ukimwi? Why umeweka STRICTLY hiyo condition?
 
Nakushauri uende Katika Mahospitali makubwa kama Muhimbili,Ocean Road,Amana,Agakhan n.k
 
kuna kazi muhimu sana nataka aifanye nyumbani kwangu,kwa mganga sijawahi hata kufikriia kwenda kwa hiyo sijaagizwa nae
 
mwathirika? duuuh
karibu jf anyway
nenda kwenye vituo vya waathirika waelezee hitaji lako watakusaidia utampata huyo housegirl
 
duh!..haya wee. Karibu Jei efu. unyanyapaa sasa huu at work. btw si uende kwenye vituo vinavyowasaidia walipata maambukizi ya VVU uwasilishe ombi lako? kule ni rahisi kumpata ila kwa hapa nadhani itachukua muda sana
 
Anataka kumuambukiza mume wake huyu,vp mumeo anapenda sana H/girl???
Inaelekea mumewe ni mtu wa totoz so akiwa ameathirika anaondoa ule uwezekano wa mumewa kumla!
tahadhari: kama mumeo atasema potelea mbali akapiga kavukavu na ww kwishney " be eyez""
 
Duh! Kweli kloro alivyosema hata kumwambukiza mtu ukimwi siku hizi ni deal hakukosea. Ishindwe hiyo roho yako ya shetani inayokunyemelea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom