msaada jamani pc yangu hai download!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,306
13,267
heshima kwenu wakuu.hii pc yangu nashangaa tangu juzi inagoma kabisa kudownload youtube videos,natumia internet download manager,ukianza kudownload kama video ni 23mb,inadownload kama 128kb inaonyesha download complete!!!na hata file la kawaida tu haiwezi!!!!tatizo litakuwa ni nini?ni window 7 ultmate pack 1,nitashukuru sana,nimejaribu kutumia hata DAP kudownload,nikisha fungua video kwenye youtube nika right click ili ni copy url ya video husika na kui paste kwenye dap,nayo haikubali!!!!!!!!!!!!
 
removie IDM complete ktk add/remove restate pc than download IDM nyengine kwenye website yao hata kwa kutumia pc nyengine than install ktk pc yako
 
jaribu kudownload dam ni replace nzuri ya idm

Pia alternative kudownload youtube unaweza ukatumia url trick kwa kuad ss nyuma ya url

Mfano url ni www.yutubu.kom/vidyo
Change iwe ssyutubu.kom/vidyo
 
Back
Top Bottom