Msaada jamani m-pesa imenitapeli

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Jumatatu niliweka pesa kwenye account yangu ya M-pesa Tsh. 150,000/= ila sikupata meseji kwamba nimeongezewa pesa na huyo wakala, nilipomwambia sijapata Msg akaniambia yeye amepata hivyo niangalie salio langu, kweli nilipoangalia nikakuta hela imeongezeka, lakini sikupata msg ile inayotaja jina la wakala na kiasi nilicho ongeza...Leo nilipotaka kutoa pesa ndo nikashtuka kwamba pesa yote ile 150K niliyoiweka haipo.! Naombeni msaada kama naweza kupata Pesa zangu na kwa njia gani
 
Wasiliana na vodacom huduma kwa wateja then waelezee tatizo lako halafu uangalie wao watakwambia nini baada ya kuangalia kwenye database yao!
 
Wasiliana na vodacom huduma kwa wateja then waelezee tatizo lako halafu uangalie wao watakwambia nini baada ya kuangalia kwenye database yao!

Thanks mkuu ngoja nikifika home niwapigie
 
huyo wakala ali-reverse hiyo transaction.Piga namba 15366 watakusaidia.Next time hakikisha una-sign ile karatasi yao
 
hiyo uwa inatokea na voda hilo wanalitambua wanaita ''ku-float kwa pesa'' ukiwapa taarifa hasa hasa kwa huyo wakala aliyefanya hiyo transaction wanairudisha; hata mie ila shanitokea some weeks ago.
 
huyo wakala ali-reverse hiyo transaction.Piga namba 15366 watakusaidia.Next time hakikisha una-sign ile karatasi yao

Asante sana mkuu nimefanikiwa, i got my money back, stay blessed
 
Thanks so much guys, vodacom m-pesa are very smart..money back in my wallet.! long live Jf
 
Back
Top Bottom