Msaada jamani hospital gani nzuri kwa watoto hapa dar?

Wakati ukiwa unafanya matibabu hayo yote kwa ajili ya afya ya mtoto usisahau na kumuomba mungu endelea na matibabu na ushauri wa wajumbe huki ukiwa anamfanyia maombi wakati wa sala zako Ahsannte na pole sana
 
Nashauri epuka vinywaji vya sukari viwe vya dukani au kutengeneza mwenyewe sababu vinaongeza hali ya kuharisha 'simple logic ya osmosis'.....tumia ORS na jtahidi kumnyonyesha asipoteze maji mengi mwilini,,,halafu nenda hospitali mapema sababu kutokula,kutapika na kuharisha ni vigezo tosha vya kuwa chini ya uangalizi wodini.
 
Nauguliwa na mtoto wa mwaka mmoja na miezi mitatu, anatapika na kuharisha kila akipewa chakula tangu juzi. Nilimpeleka jana kwa dr Koya pale Lumumba wakampa dawa lakini sioni nafuu yoyote na dawa amemaliza!

mkuu mbona huyu dr koya namwamnia sana ni bingwa kwa wtt mi cjawai mpeleka mtt wangu sehemu ingine zaidi yake na mara moja niliwahi kumpeleka kwa dr hameer kkoo hapa fire nae ni mzuri jaribu hapo pia
 
mkuu mbona huyu dr koya namwamnia sana ni bingwa kwa wtt mi cjawai mpeleka mtt wangu sehemu ingine zaidi yake na mara moja niliwahi kumpeleka kwa dr hameer kkoo hapa fire nae ni mzuri jaribu hapo pia

Thanks
 
pole sana mkuu!ww jitahd umpeleke hapo kwa massawe,unamtuma kijana saa 11 alfajir anakushikia namba afu saa 2asbh unakua pale!kesho jpili dula,au massawe wanakuwepo kuanzia asbh!watoto ni rrisk sana!wahi kwa massawe kama ni seriuos sana watakuhamishia muhimbili!huko tmj wala sikushauri mkuu.
 
Yaani huko kwa masawe kwa kudamka usiku usiku, nilienda only once na it was 7yrs back, now 3 kids later...nina namba za mapadeatrician 3 for quickie advice pia watoto napeleka tu Agakhan maana huyo kuboja anakuja hapo, pia yupo Dr Lakhani
 
Nauguliwa na mtoto wa mwaka mmoja na miezi mitatu, anatapika na kuharisha kila akipewa chakula tangu juzi. Nilimpeleka jana kwa dr Koya pale Lumumba wakampa dawa lakini sioni nafuu yoyote na dawa amemaliza!

Pole.peleka mtoto muh2 kuna madaktar bingwa wa magonjwa ya watoto na si kupoteza ktk vituo binafsi vya afya
 
NENDA KAJA Clinic pale Mwananyamala Komakoma. Yule babu ni mzuri sana kwa watoto. Hakurupuki kutoa dawa bila kujua nini tatizo. Mtoto kuharisha inawezekana pia mazingira ya vyakula vyake, hasa nyie wafanyakazi mnaotoka nyumbani asubuhi na kurudi jioni hamjui hata huyo binti wa kazi anamweka mtoto kwenye mazingira yapi? Angalia nini alikua kabla ya kuanza kuharisha?

Endelea kumpa juice na matunda, hakikisha utengenezaji wa hiyo juice uwe kwenye mazingira mazuri ya usafi! USAFI ni zaidi ya ushauri.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom