Msaada jamani;hivi kampuni ya bima n.i.c ilifisika kwa sababu zipi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,135
Wanandugu na wote wenye mapenzi mema....,kuna swali na jiuliza hivi hii kamupni ya NIC ilifikaje ikafilisika.....hivi majuzi NIC waliachisha wafanyakazi wote na kuwalipa na kuamua kuajiri upya...yap hii ilikuwa nzuri although pamoja na mikwara yote wengine awajamaliziwa pesa zao....sasa baadae wakatangaza kuajiri wakaunda vitume vya kula hela,,na mengineo...watu wameanza kuajiriwa good...ila tatizo langu tusichukulie haya mambo kirahisi bila kutafuta sababu iliopelekea hili shirika kufa.....
Kuna matatizo mengi tunayaona kwenye kampuni zetu zilzopo na hali zao si shwari....sasa kwa ufupi tu isije ikatokea kila kampuni tunaachisha na kuanza kuajiri upya huku matatizo yakiendelea ama kuwaacha viongozi wale wale walioshiriki kuyaua haya makampuni.....bado najiuliza wapi tunaelekea ....hivi juzi rais ametutangazia kuna dalili ya wachina kuichukua Kampuni ya ATCL...GOOD IMPROVEMENT...ila kabla ya kusaini haya mambo lazima tujiulize hii kampuni ilikuwa na SAA...baadae wakauza kila kitu cha hii kampuni...sasa haya mambo lazima tuwe waangalifu...Mkataba wa TRL hakuna asiepiga makelele kabla ya kusainishwa...najua hata waleomba omba walilia sana jamani mawaziri seikalini muwe makini na hili...tunaomba usafiri uwe makini na si kuwekeza just kuwekeza.....,jamani matokeo yake mmeyaona leo hii ni aibu tupu na karaha kwa watanzania na serikali kwa ujumla...tunaitaji kutambua tatizo kabla ya kuingia mikataba....good tuangalie je baada ya kuwapa wazawa waliifanyia nini hizi kampuni...na je nini kimefanywa mpaka leo hii kuamua kuwatafuta tena wawekezaji....

Tuwe makini katika mikataba ya mashirika ya umma..pia serikali ijaribnu kuwa makini sana si kila kampuni wanawaachishwa kazi then wanaajiri upya ...tuangalie nini chanzo..hili litaleta manufaa kwa umma na vizazi vyetu
 
Back
Top Bottom