msaada jaman

Nyeusi

Member
Feb 13, 2012
13
0
jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi nijulishe.Asanteni.
 
Chuo cha ajabu kabisa. Hakina website mkuu tangu mwaka jana. Sijui wanawaza nini kwa karne hii chuo hakina website!
 
Jamani,upo Dar au nje ya Dar? Km upo ndani ya Dar tafuta muda uende chuoni ukaulizie kila kitu au tuma mtu akakufanyie hyo kazi na sio kila kitu kwenye mitandao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom