Msaada iphone

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
Wakuu nilikuwa na update iphone yangu 3gs kilichotekea ni kwamba kuupdate ilionyesha imeupdate kwenye itune ya computer lakini kwenya simu version imekataa na kurestore ikagoma tena.Hapa nilipo imegoma haiwaki inaonyesha tu picture ya itune na cable kwenye simu.Naombeni msaada tafadhali jinsi ya kushughulikia hili tatizo.Au ndo simu nimeisha ikosa hivyo.
 
Hebu jaribu ku connect na computer yako then press power na home button kwa pamoja then ushikilie kwa muda ukisikia itunes imeitambua(utasikia mlio kwenye computer kama ule unaosikia ukichomeka flash) ndio unaweza kuendela na process za kurestore.All the best
 
Imekataa mkuu mpaka kijasho kina nitoka kaka
Hebu jaribu ku connect na computer yako then press power na home button kwa pamoja then ushikilie kwa muda ukisikia itunes imeitambua(utasikia mlio kwenye computer kama ule unaosikia ukichomeka flash) ndio unaweza kuendela na process za kurestore.All the best
 
Download lates firm wire as a file different fro
ITunes. Ata unaweza uka google too iOS 5.1 download then were u download they wil tel u what to do with it depending on your operating system.
 
Vuta subira mkuu. Iache imeunganika na kompyuta. Bado inasaka mafaili kwa ajili ya ku-restore. Simu ni nzima. Usiwe na wasiwasi. Ikimaliza kujiweka sawa itakuambia hatua ya kufanya.
 
Kitu kimegoma mkuu niamini nipe altenative jinsi ya kufanya.
Vuta subira mkuu. Iache imeunganika na kompyuta. Bado inasaka mafaili kwa ajili ya ku-restore. Simu ni nzima. Usiwe na wasiwasi. Ikimaliza kujiweka sawa itakuambia hatua ya kufanya.
 
Ngoja nifanyie kazi mkuu wazo lako.
Download lates firm wire as a file different fro
ITunes. Ata unaweza uka google too iOS 5.1 download then were u download they wil tel u what to do with it depending on your operating system.
 
Iyo picha ya itune na cable manake uinganishe na PC yako, fungua Itunes, wait kidogo itunes ijisome, kama simu inaonekana, ikionekana (na lazima ionekane na itunes) basi utaweza ku restore. Kama haiwaki kabisa, yani haioneshi hata kioo, basi unganisha na itunes kisha hold lock button na home button, atleast 30 seconds, kisha itawaka!
 
Mkuu ikishindikana kabisa niPM nitakupa namba ya mshkaji alinisaidia kuifungua yangu ilikuwa inaloop wakati nikiwasha. I mean, ilikuwa ikiwaka inaishia kwenye ile alama ya apple then ndo mwisho. Ilianza kuwa hivyo baada ya kujaribu kuchange updates zilizoluwa kwenye cydia.
 
Back
Top Bottom