Msaada!!! IOS6 Update

richy17

Member
Apr 1, 2012
57
4
heshima kwenu wakuu!!!!...nimeupdate Iphone 4s kwenda IOS6 na sasa hivi sijui jinsi ya ku-unlock coz sijaipata hiyo software...anayweza kunisaidia aniambie cha kufanya coz hapa nilipo nimepanic balaa
 
inaniambia ni-unlock ili niweze tumia sim card za huku bongo but shida ni kwamba hakuna program ya kui-unlock hadi sasa yani ya hyo IOS6

usije upgrade hardware yako kwa software bila uhakika wa uwezo wa jailbreak/ hack/ crack
hacking 101 :biggrin:
 
usije upgrade hardware yako kwa software bila uhakika wa uwezo wa jailbreak/ hack/ crack
hacking 101 :biggrin:
ndo hvyo nishafanya kwa bahati mbaya....so nitafanyaje ili kuepuka tatizo??
 
Check jailbreaknation.com ila bado ipo beta version

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom