Msaada invalid IMEI Kwenye Simu ya Android

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
617
Kama heading hapo juu jana nimeletewa simu ya Samsung Galaxy J1 lakini tatizo linalonikumba kila nikiweka line zangu za voda na airtel inaniletea ujumbe wa INVALID IMEI Artel Tz and INVALID IMEI Vodacom tanzania lakini majina na sms zikizoko kwenye hizo line zinasoma kama kawaida, nikijaribu kuangalia salio au kumpigia mtu inaleta ujumbe wa mobile network not available
Lakini nilipojaribu kutumia line yangu ya halotel inapiga kazi kama kawaida ndo ninayotumia mpaka kupostia thread hii ..
Naombeni msaada wanajamvi niganyeje nisolve hii issue.
NB line za voda na artel nikiweka kwenye simu nyingine zinapiga kazi kama kawaida
5afd52ce5345e467ef89251679801df8.jpg
 
umecheki imei ni ya simu yako? tumia tools za online.

huwenda mambo ya tcra ndio yanaanza na wakifungia simu wakakufingia.

ukishahakikisha kama ni ya simu yako then unaweza ukawasiliana nao wafanye mpango iwe online
 
Kama upo dar nenda pale service center ya samsung ipo jengo la Jmall pale mtaa wa samora. Ni ishu ndogo sana wanasajili upya imei baada ya kuflash simu. Kama upo kwenye gerentii haitakuwa tatizo sana ila kama haupo kwenye gerentii let say simu ni ya zamani au umeinunua nje ya tz, ke na ug then jipange kwasababu zitakutoka za kutosha. Jamaa ni jipu jingine kubwa wamejitengenezea ka escrow kao watakuambia utoe sh 40000 kwanza eti ya kuchunguza tatizo ni nini (ingawa linajulikana kuwa ni imei registration failure) then baadae ndio wanakuambia utoe 70,000 za kulirekebisha. Pia uwe mvumilivu wanaweza kukaa na simu yako hiyo kwa zaidi ya wk 2 kwa maelezo kuwa eti wanasubiri hiyo imei kutoka Nairobi. Hapa ndio unapoonekana umuhimu wa kuachana na simu za hovyohovyo na kujiripua na apple iphone kwasababu mambo madogo madogo kama hayo na mengine kwanza kukutokea ni nadra na hata yakitokea unasolve online na jamaa wa California no njoo kesho njoo kesho
 
huo ni wizi wa macho macho, unatakiwa watu kama hao uwaripoti samsung kwenyewe sababu sidhani kama samsung wanajua kama matawi yao wanafanya.

na kubadili imei ni kosa la jinai nchi nyingi tu hata hao samsung hawaruhusiwi kubadili
 
umecheki imei ni ya simu yako? tumia tools za online.

huwenda mambo ya tcra ndio yanaanza na wakifungia simu wakakufingia.

ukishahakikisha kama ni ya simu yako then unaweza ukawasiliana nao wafanye mpango iwe online

kucheki IMEI? Me ninazozijua ni zile zilizopo nyuma ya simu yangu zinazoonekama mara baada ya kutoa betrii ya simu yangu.
pili kilichonishangaza ni kuwa nikitumia line yangu ya HALOTEL haileti mambo ya Invalidi IMEI yenyewe inasoma moja kwa moja na kuwasha data naendelea na mambo mengine .
nitaufanyia kazi ushauri wako Chief
 
huo ni wizi wa macho macho, unatakiwa watu kama hao uwaripoti samsung kwenyewe sababu sidhani kama samsung wanajua kama matawi yao wanafanya.

na kubadili imei ni kosa la jinai nchi nyingi tu hata hao samsung hawaruhusiwi kubadili

Sure mkuu na ndio maana nikasema wale jamaa ni jipu
 
Ugumu wa tatizo unategemea mambo mengi , you can restore iyo IMEI bila hata kwenda samsung kwenyewe . but huwa ni ngumu sana kurestore IMEI ya samsung original . I have been able to restore IMEI za model mbali mbali za samsung , but not with Samsung j1 ( well sabab its one of the latest ) ..

But kwa jinsi ulivyojieleza , umesema lain ya Halotel inafanya kazi , which means your IMEI is not valid to other networks inaonyesha tatizo sio kubwa .

Ila pia bado hauko wazi , hujatuambia , sim imekuaje mpaka haisomi lain hizo nyingine , Je ilikua inasoma hizo lain zingine au ndo jinsi ulivyoinunua hivyo ..? if ilikua inasoma then when was the last time ilikua inasoma lain zingine au what were you doing mpaka ikaacha kusoma ..? kama ulikua unajaribu kuroot au kubadilisha system ni bora kuwa wazi , from there tutajua jinsi ya kukusaidia .
 
Mkuu RobyMi simu ni mpya na mtumiaji wa kwanza ni mimi mwenyewe . Kuhusu line kama ilikua inasoma hizo line au la ni hivi nilipoitoa tu kwenye box line ya kwanza niliweka HALOTEL ndo nikatuia na kudownloadia app kama wasp na jforum the leo ndo nikaweka hizo line coz hazikua micro mpaka nilipoenda airtel na vodashop kukatiwa ndo kuziweka kwenye simu ndo ikawa hivyo
 
kucheki IMEI? Me ninazozijua ni zile zilizopo nyuma ya simu yangu zinazoonekama mara baada ya kutoa betrii ya simu yangu.
pili kilichonishangaza ni kuwa nikitumia line yangu ya HALOTEL haileti mambo ya Invalidi IMEI yenyewe inasoma moja kwa moja na kuwasha data naendelea na mambo mengine .
nitaufanyia kazi ushauri wako Chief
Halotel inasoma hata mie niliwahi kuona h6 inafanya kazi bila IMEI
 
TATIZO SIO LAINI TATIZO LIPO KWENYE SIM FUAT MAELEKEZO HAYA UNAWEZA KUSOLVE TATIZO HILO PEKEE YAKO
1.HAKIKISHA UNAPROGRAM INAITWA ODIN NI SPEACIAL KWA AJILI YA KUREKESHA MATATIZO YA SAMSUNG
2.SEARCH KWENYE GOOGLE JINSI YA KUREPAIRE IMEI NUMBER ALAF FUATA MAELEKEZO IMEI NUMBER ITAKUWA REPAIRED AU BAC ITAHTAJ MSAADA ZAID FIKA KARIAKOO SOFT TUPO KARIBU NA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KWENYE SCREEN KUBWA YA MATANGAZO UKIFIKA BC TWAWEZA KUWASILIANA KWA NAMBA 0653868632 NYOTE MNAKARIBISWA
 
Bro .. Kwanza Odin sio kwa ajili ya kurekebisha IMEI ya sim.

Pili hiyo sim ni promo za Halotel , thats why sijamjib tena baada ya kuona anadanganya , na wala IMEI yake haina tatizo . Its a carrier based lock , atafute service ya kufanya network unlock either kwa kuwafuata halotel wenyewe au a third party service .
 
ni kweli odin sio ya kurepair imei directly ila wakati mwingine unaweza kutumia kama EFS yake unayo pia nikurestore tu kama efs tayar unayo la pili kama ukiweka line zingine inavyoandika invalid imei check imei ipo na inaonekana naje
 
Bro .. Kwanza Odin sio kwa ajili ya kurekebisha IMEI ya sim.

Pili hiyo sim ni promo za Halotel , thats why sijamjib tena baada ya kuona anadanganya , na wala IMEI yake haina tatizo . Its a carrier based lock , atafute service ya kufanya network unlock either kwa kuwafuata halotel wenyewe au a third party service .
unaweza ku restore imei yako via odin..hivyo usipinge bila kutoa clarification...ukisha backup imei yako unaweza tumia odin kuflash ile tar file ili kurudisha imei brother..japo kuna njia tofaut zingine.
 
Nafikir umeona jamaa alichoandika hapo juu , tofautisha maana ya kurestore na kurepair
 
Brother wakati una repair imei inahusisha process ya ku back up then kisha una restore kwa kuflash tar files via odin....hivyo kurepair kwangu kuna husisha backup na restoration kaka...ndio mana nikakwambia njia zipo nyingi
 
Back
Top Bottom