Msaada: Instalation of MS Office 2007

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Wanabodi,

ninataka kuinstal ms office 2007 kwa window xp sp2, nimedownload kwa internet website ya mircosoft,sasa wakati naistall nikubali Ms licence agreement inaniletea dialog box inayoema "There is no products affected by this package installed on this system"
Comp ikoclean kabs haina mafaili kabs,

Pia haina ms office kabisa,nilimtumakununuliwa,sasanikakakuta haina Ms office ndo nikaamua kudownload kwente mtandao......msg hiyo sasa!!! na inaoption moja tu ya kuklick OK! ikiklick ok ndo mwisho mchezo

msaada jamani
Kr
 
Kwa Ms office 2007 niliyotumia mimi haina tatizo na win xp s2 sijui kama kuna tatizo jingine ila Ms office 2010 ndio inahitaji win xp s3. Jaribu kuchukua Ms office nyingine.
 
Kiresua pengine hiyo ms word unayoinstall kwenye computer yako haiko compartible. Angalia computer yako Kama ni 32-bit au 64-bit utafute ms word kulingana bit system ya computer yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom