msaada:inbuilt modem kwa laptop

magneto

Member
Jul 23, 2008
61
17
wakuu wa tech nina mtumba wa esprimo mobile d9500 nimegundua kuna sehemu ya kupachika sim card nimejaribu kugoogle nijue namna ya kutumia naona nyota tu.nimeonelea si vibaya nikiomba msaada kwenu,thanks in advance
 
wakuu au ndo mmelizika na asante za kabla ya msaada, mnapotezea wadau wa IT!
 
Utahitaji kuinstall software yao Globe Trotter (GT) na drivers tafuta kwenye Programs kama unayo tayari.

Kama hauna:
Kwanza jaribu hii DeskUpdate ambayo itaupdate drivers zote
http://support.ts.fujitsu.com/include/OutputWriteLog.asp?Goto=*/DeskUpdate/DeskUpdate.asp?LNG=EN*,*Haupt*&WP=Deskupdate

Kama hiyo ikishindwa nenda Downloads - Support - Fujitsu

Kwenye select products chagua Notebook, kisha chagua model yako.

Chagua OS yako.

Nenda sehemu ya GPRS.

Download hiyo software ya Globe Trotter (GT) latest version.

Install.

Enjoy.
 
kwa msaada ulioupata hapo juu I hope mambo yataenda mswano....ikikataa basi huenda itakuwa ishu ya Hardware....
 
Utahitaji kuinstall software yao Globe Trotter (GT) na drivers tafuta kwenye Programs kama unayo tayari.

Kama hauna:
Kwanza jaribu hii DeskUpdate ambayo itaupdate drivers zote
http://support.ts.fujitsu.com/include/OutputWriteLog.asp?Goto=*/DeskUpdate/DeskUpdate.asp?LNG=EN*,*Haupt*&WP=Deskupdate

Kama hiyo ikishindwa nenda Downloads - Support - Fujitsu

Kwenye select products chagua Notebook, kisha chagua model yako.

Chagua OS yako.

Nenda sehemu ya GPRS.

Download hiyo software ya Globe Trotter (GT) latest version.

Install.

Enjoy.
I have the same problem with my dell latitude D830.
Msaada tafadhali
 
fungua Dell then nenda support and driver weka model ya laptop yako na os alafu download file limeandikwa dell true gprs driver
 
Back
Top Bottom