Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,629
- 1,282
Jamani wana jf mimi nimedownload windows 8 kama moja ya thread humu inavyosema ila tatizo linakuja jinsi ya kuinstall hii window maana ina ukubwa wa 5.9264GB sasa nashindwa kupata DVD yenye ukubwa huo. ila nauliza kama kuna uwezekano wa kuiinstall ikiwa kwenye computer kama file moja kwa moja na nitafanyeje? ili kuiinstall moja kwa moja? bila kutumia DVD?
Nimeshafanya partition kabisa ya 60GB kwenye hard disk yangu kwa ajili ya hii window 8 nataka niweke ziwe mbili pamoja na window 7 naombeni msada wanajf wenzangu.
natanguliza shukrani zangu.
Nimeshafanya partition kabisa ya 60GB kwenye hard disk yangu kwa ajili ya hii window 8 nataka niweke ziwe mbili pamoja na window 7 naombeni msada wanajf wenzangu.
natanguliza shukrani zangu.