Msaada: Huwa wamaanisha nini?

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Kuna msemo mmoja unachukua umaarufu kwa kasi siku hizi, uamsikia mtu anasema "CHAPA ILALE", sijui huwa wanamaanisha nini, msaada pls.
 
Na kuna watu wanaitwa MASHAROBARO.........Ndio jina jipya la mashoga nini?
 
Na kuna watu wanaitwa MASHAROBARO.........Ndio jina jipya la mashoga nini?
ahhhhh kaka kuna
masharobaro na masharouharo upo?
mabrazamen ao wabana pua akina diamond ,choklate fleva...na kwa wasaniii ndo akina hemed....ahhh achana nao ao washajifia wanasubiria kuzikwa tu!!!
 
Afadhali umeweka hii avatar yako, ile ya zamani mmmmh........!!!!!

hahahahah lol Bacha umeanza mapema hivi dear mmmmhhh
haya bwana hiyo ni ya leo tu kesho nyingine...
vipi mambo lakini???
umetuandalia nini mwaka huu??
 
hee shukran ndio zawadi yangu hiyo??ngoja nikaifungulie chumbani baasi....

mmmhhh mi nilizani utafungulia hapa kila mtu aone hahahah lol
nway vipi lakini mwaka wako umeanzaje???
samahani sana nimechelewa kukujibibu PM yako ..
leo ndo narudi huku kwa wataalum..
mambo yanaendeleaje???
 
hahahahah lol Bacha umeanza mapema hivi dear mmmmhhh
haya bwana hiyo ni ya leo tu kesho nyingine...
vipi mambo lakini???
umetuandalia nini mwaka huu??

lol.. nina mambo mengi tu mama, ntakushirikisha usijali!
Ulitubania sana kuiona sura yako, kumbe mrembo hivi lol...
Naona mwaka umeanza vizuri dear!!!!!!!
 
mashine ikisimama mzee hailali mpaka ilambe 'dume'....kwahiyo chapa ilale = 'kamua'
 
lol.. nina mambo mengi tu mama, ntakushirikisha usijali!
Ulitubania sana kuiona sura yako, kumbe mrembo hivi lol...
Naona mwaka umeanza vizuri dear!!!!!!!

hahahaha lol
asante sana Bacha lakini huyo si mimi ...
mie huoni picha yangu mpaka tukutane kwanza hahahahah lol
vizuri kusikia mwaka umeanza vizuri....
mie mwaka wangu utaanza mwezi wa pili hahha lol
u know just another excuse to have a party lol:whoo:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom