Msaada Huawei Ideos

Sydfred

Member
Oct 14, 2012
28
4
Hello guys, sorry natumia Huawei Ideos, OS ni Android 2.2, tatizo ni kuwa whenever i am using internet (Data enabled) inakuwa ina restart ovyo ovyo, sijui tatizo ni nini na how to fix it.
Thanx in advance
 
Simu nyingi na tablet zinazotumia froyo 2.2 zina matatizo hayo na solution nyingi ni ku upgrage kwenda gingerbread 2.3 sasa sjajua kama yako inasuport au la

Maybe ungetaja ni ideos ngap ngap
 
Simu nyingi na tablet zinazotumia froyo 2.2 zina matatizo hayo na solution nyingi ni ku upgrage kwenda gingerbread 2.3 sasa sjajua kama yako inasuport au la

Maybe ungetaja ni ideos ngap ngap

Thanx Chief, ni Ideos U8150-D kaka
 
mi Naona labda unakuwa unafungua vitu vingi kwa pamoja ram inaisha SIM ina clear.jaribu kufanya kitu kimoja kwa wakati maana ideos haina uwezo wa kuhimili Mambo mengi kwa pamoja
 
unaweza ku update kwa kuinstall custom rom kama vile CynogenMod ambayo iko Gingerbread based.
 
Ila itazidi kua slow

sio slow to kuna bugs zakutosha, Wi-Fi inaweza isifanye kazi, audio quality inapungua mno haya nime experience mwenyewe,
si shauri mtu a update to gingerbread with cynogenmod 7, bora DroniX japokua ni android 2.2 floyo based
 
restore factory setting..halafu uskilizie kama bado ina hako katabia
 
Rocking cyanogen on my hotspot ideos and its a joy to use! everything works like a dream.
 
Back
Top Bottom