Msaada huawei dashboard, help me jamani

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
Jamani naombeni msaada wa link ntakayoweza kupata dashboard ya huawei, nataka kuchakachua modem yangu ya huawei ila sina dashboard na nimeshindwa kuipata, ahsanteni sana
 
Jamani naombeni msaada wa link ntakayoweza kupata dashboard ya huawei, nataka kuchakachua modem yangu ya huawei ila sina dashboard na nimeshindwa kuipata, ahsanteni sana

Nenda hapa http://huaweifirmware.blogspot.com/ kisha chagua model ya modem yako. Utapata, firmware, dashboard na drivers
 
Back
Top Bottom