msaada HTML

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
jamani nataka kujifunza hii kitu mana huwa naiona ona tu, naombeni mnisaidie namna ntavyoweza kujifunza ili niweze kuitumia, pia kama kuna link yenye vitabu vyake niweze kudownload. Nashukuru sana na nategemea msaada wenu
 
mkuu huwa unaiona ona wapi? html kama html haitakusaidia, kwa kuanza search "html for beginners", utaweza kujifunza codes mbalimbali...then endelea mbele zaidi, jifunze XML,PHP, CMS na CSS
 
mkuu huwa unaiona ona wapi? html kama html haitakusaidia, kwa kuanza search "html for beginners", utaweza kujifunza codes mbalimbali...then endelea mbele zaidi, jifunze XML,PHP, CMS na CSS
tindikalikali, HTML and what you have mentioned..niaviona ona hivi vitu pia .... pls in one sentence niambie what are those dudes ....???
 
Last edited by a moderator:
Mentor me nimempa link kama yako. Kumbe wote huwa tunapita huko?
Mentor checki thread yangu la leo. Toa mchango wako, nimekwama kidogo.
 
jamani nataka kujifunza hii kitu mana huwa naiona ona tu, naombeni mnisaidie namna ntavyoweza kujifunza ili niweze kuitumia, pia kama kuna link yenye vitabu vyake niweze kudownload. Nashukuru sana na nategemea msaada wenu

Angalia site hii utakutana na HTML video training courses www.alphonce.net
 
Samahani wadau,nashauri kabla ya kuanza kumwambia mtu soma hapa,nenda web site fulani.Tujue mtu huyo amesomea nini?Alishawahi kusoma programming walau intro ingawa html siyo programming language.Unaweza kupoteza muda wako bure kumbe mtu hana kabisa ufahamu wa kitu,mtu anasema html huwa anaionaona tu.Nashauri tuwe tunajua mtu yuko ktk level gani ili iwe rahisi kumsaidia,unaweza kumwambia kitu ambacho kwako unaona ni rahisi kumbe kwa mwenzako ni ngumu sana.The way I see it
Website maarufu for beginners zimetajwa(Tizag Tutorials. W3Schools Online Web Tutorials, pia tumia google kupata materials,you tube kupata video).Tusiulizane neno la kutype wakati wa kusearch.Technologia inaelekea kwenye html5 kazi kwako...
 
Back
Top Bottom