msaada how to track someone in facebook...

Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
habari za kwenu wanaJF, ninaomba msaada wa jinsi ya kuweza kumtrack mtu kwenye facebook. Ninachomaanisha ni kwamba jinsi ya kuweza kupata information kama wapi,lini na muda gani huyo mtu aliingia facebook na kwakutumia browser na OS gani. hii kitu nilisikia kutoka kwa rafiki yangu ambaye alishawahi kumwambia mtu kuwa hatumii sana facebook alafu baada ya muda yule mtu akamwambia hizo details jamaa akashangaa na ilikuwa ukweli...
sasa naombeni mnielemisha kuhusu hili.. inakuwaje?
 
Si ingekuwa rahisi rafikio akamuuliza alomwambia ili akuambie au?

Mie sio mfb wa kila siku.
 
ingia fb thn nenda katka settng af policy hapo utaweza ku edit na kupata taarifa via mobile au email kwamb kuna device imelogin ktk ac yko..pia had mda utajua na pia browser husika utaambiwa...na pia unaweza block baadh ya bworser zic login ktk ac yko...U HEARD?
 
facebook ya nani sasa ya kwako au ya mtu mwingine?...
 
ingia fb thn nenda katka settng af policy hapo utaweza ku edit na kupata taarifa via mobile au email kwamb kuna device imelogin ktk ac yko..pia had mda utajua na pia browser husika utaambiwa...na pia unaweza block baadh ya bworser zic login ktk ac yko...U HEARD?

hyo n possble lakn niktaka kujua labda jamaa yangu yupo/alikuwa online mda fulan ntafanyaje na pia nipate kujua sms alzo2ma na kupokea
 
hyo n possble lakn niktaka kujua labda jamaa yangu yupo/alikuwa online mda fulan ntafanyaje na pia nipate kujua sms alzo2ma na kupokea

hizi ni dalili za wivu na huyu ni shemeji tu anafuatiliwa kwa karibu...kazi anayo
 
ingia fb thn nenda katka settng af policy hapo utaweza ku edit na kupata taarifa via mobile au email kwamb kuna device imelogin ktk ac yko..pia had mda utajua na pia browser husika utaambiwa...na pia unaweza block baadh ya bworser zic login ktk ac yko...U HEARD?

kaka hii kitu jamaa alifanyiwa na mtu mwingine.. yani kama mimi sasa hivi hapa nifanye maujanja alafu nikwambie wewe when did u login in na ulitumia OS gani na location yako ilikuwa ipi.
Mimi rafiki yangu kafanyiwa hivyo...labda uniambie huyo aliyemfanyia bahati ya kuaccess account yake akaingia kubadili hizo settings..
 
hyo n possble lakn niktaka kujua labda jamaa yangu yupo/alikuwa online mda fulan ntafanyaje na pia nipate kujua sms alzo2ma na kupokea
Gwamazz nadhani wewe umepata idea ya ninachotaka kujua... kama ulivyosema kuwa unataka kujua mtu flani aliiingia online muda gani, kwa OS ipi,location gani na wakati gani akasign out namimi ndo nataka kujua coz nimeambiwa its possible....kuhusu hilo swala la kupata sms ulilozungumzia sijui kabisaaaa....
sasa wewe unajua chochote kati ya hivi ninavyotaka kuvijua mimi???....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom