Msaada: how to convert word doc to pdf

pata Adobe Acrobat.
Vinginevyo google: word to pdf converter freeware. Ukipata download, install, tumia.
 
Inabidi upate pdf converter, adobe wana paying version lakini kuna ya bure inaitwa fox read it
bofya hapo chini alafu upakue

Best PDF Reader
 
wala huitaji conveter, ms word 2010 inayo option ya kusave as pdf, kama huna office 2010, unaweza download open office ina features almost zote za ms-office na pia ina option ya kuexport as pdf, ni freeware
 
sahihi.....hata ms word 2007 iko pia
 
Yote ya nini kusumbuka unatafuta converter?
kama una Pdf reader installed kwenye computer yako,
nenda kwenye hiyo word document yako uliko i-save kisha
right click hiyo word document,
nenda open with......kisha fungua kwa Pdf reader uliyonayo
kisha i-save kwa jina unalotaka kazi kwisha.
 
Sio kila doc inakubali kwa njia hii mkuu.
 
Sana tu.
Hata mimi natumia office 2010 na adobe 10.

sample.jpg
Hii word document nimeitengeneza sasa hivi kutumia njia niliyoandika mkuu wangu Genius. Wengine mnapata shida wapi?
Naweza hata kuibadilisha kuwa Publisher kwa kutumia njia hii hii!
 
Back
Top Bottom