Msaada: How do to expand/modulate my fm radio frequencies

Mnwele

Senior Member
Feb 4, 2010
162
100
Wadau, msaada tutani
Nina mkoko wangu umekuja na radio but with limited frequencies. Yaani kwa hapa kwetu naweza kupata radio zilizopo kwenye frequencies kuanzia 76 hadi 90 tu
Nakosa raha kwani niko na limited choices na kama mjuavyo kuna baadhi ya Radio sasa hazisikiliziki maana zimeshika hatamu.
Naomba msaada tafadhali
 
Huna jinsi mkuu, ni kubadilisha tu hiyo radio.
Radio nyingi za china na japan zinaishia hapo
 
Yeah!inabidi ubadilishe tu mkuu coz china na japan sanasana wanalimit frequencies zao hapo ili kuavoid interference na frequence za vitu vingine kama simu,radiocall na mitambo mingine ya siri
 
nenda pale kvd ama round about ya hindu mandal kuna maduka yanauza car accesories ulizie freq range expander watakupachikia fasta.it cost about 20 thousand or less
 
Back
Top Bottom