Msaada: Honeymoon..

jamani tuache masihara tumsaidie jamaa ajipumzishe na barafu wake wa moyo........kuna moja inaitwa wanyama hotel ipo dar......hebu nyie wadarisalama tupeni details.....inaweza kumfaa ndugu yetu huyu
 
mi sizijui za huko tz..hebu tungojee nikipata na mie nahitaji nikija nifkizie hotel za huko,

Mashallah habibie, waja lini bongo, nitafute bibie, wallaahi hutatoka tena TZ, ww ukija ni PM, wakaribishwa sana, ww ushaolewa Nilham? mie bado ukinikubalia tutakula honeymoon, earthmoon & sunmoon, hatubakizi kitu malkia hadi creammoon, take this song Secret lovers & every breath you take, see u
 
Honeymoon Dar? wapi na wapi? Mwambie aende nyanda za juu kaskazini na kwenye mbuga za wanyama! Hali ya hewa nzuri. Hapo Dar itabidi awe samaki au ndani wakati wote!
 
jamani tuache masihara tumsaidie jamaa ajipumzishe na barafu wake wa moyo........kuna moja inaitwa wanyama hotel ipo dar......hebu nyie wadarisalama tupeni details.....inaweza kumfaa ndugu yetu huyu
Preta huyu jamaa anatakiwa aje AR aende na mbugani, hali ya hewa safi. Sasa hili joto la Dar hapa na huu umeme wetu ukikatika.......hata
ngozi haigongeki tena :teeth:
 
oooops!!! i still wait 4 the one who will b my king of da world and i will b his queen of da world ..
Mashallah habibie, waja lini bongo, nitafute bibie, wallaahi hutatoka tena TZ, ww ukija ni PM, wakaribishwa sana, ww ushaolewa Nilham? mie bado ukinikubalia tutakula honeymoon, earthmoon & sunmoon, hatubakizi kitu malkia hadi creammoon, take this song Secret lovers & every breath you take, see u
 
Mashallah habibie, waja lini bongo, nitafute bibie, wallaahi hutatoka tena TZ, ww ukija ni PM, wakaribishwa sana, ww ushaolewa Nilham? mie bado ukinikubalia tutakula honeymoon, earthmoon & sunmoon, hatubakizi kitu malkia hadi creammoon, take this song Secret lovers & every breath you take, see u

mwee....JF ni kila kitu hakyanani
 
Back
Top Bottom