Msaada hii haitaki kufungua baadhi ya page na kudownload inaleta msg "ACESS DENIED".

Toa maelezo vizuri ndugu yangu ili upatiwe suluhisho.


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Yaani baadhi ya komputa hasa za jamii kama vyuoni ukitaka kufungua page flani au kudownload kitu flani inagoma na kuleta messege "ACESS DENIED" JE suluhisho la swala hili ni nini naomba kusaidiwa khs hilo!
 
Back
Top Bottom